Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waufanyia kazi ukuta wao 'hatutaruhusu goli kesho'

Selemani Matola Simba waufanyia kazi ukuta wao 'hatutaruhusu goli kesho'

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Msaidizi wa Simba SC, Seleman Matola amesema wamefanyia kazi eneo lao la ulinzi hivyo kesho hawatarajii kuruhusu goli watakapopepetana na Mashujaa FC.

Matola ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumzia maandalizi ya mchezo huo utakaopigwa kesho Marchi 15, 2024 kwenye Uwanja wa Azam Complex- Chamazi jijini Dar majira ya saa 2:15 usiku.

"Ni kweli katika michezo yetu mitatu iliyopita karibu kila mchezo tumeruhusu goli, tumeliona hilo na tumelifanyia kazi hilo hivyo nia dhabiti kwa kesho ni kutoruhusu goli," alisema Matola.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live