Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba watua kibabe Mtwara, Azam kazi wanayo (+Video)

Zimbwe Mohamed Tshabalala Mtwara Mlinzi wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein "Tshabalala"

Fri, 5 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba kimewasili Mtwara leo kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Jumapili dhidi ya Azam FC Uwanja wa Namgwanda Sijaona.

Tazama msafara wa Kikosi cha Simba safarini Mtwara hii leo;

View this post on Instagram

A post shared by Simba Sports Club (@simbasctanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live