Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba watua Dar, wajiandaa kukipiga na Wydad

Simba Botswana Simba watua Dar, wajiandaa kukipiga na Wydad

Sun, 3 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha timu ya Simba kimewasili leo Jumapili Desemba 3, 2023 jijini Dar es Salaam kikitokea nchini Botswana kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi dhidi ya Jwaneng Galaxy ambapo katika mchezo huo ulimalizika kwa suluhu.

Kikosi cha timu ya Simba kimewasili leo Jumapili Desemba 3, 2023 jijini Dar es Salaam kikitokea nchini Botswana kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi dhidi ya Jwaneng Galaxy ambapo katika mchezo huo ulimalizika kwa suluhu. Baada ya mchezo wa jana, Simba inatarajiwa kukutana na Wydad Casablanca Desemba 9, 2023 nchini Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live