Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba watinga nusu Fainali Mapinduzi, wampiga Jamhuri 1-0

Simba Nusu Fainali Simba watinga nusu Fainali Mapinduzi, wampiga Jamhuri 1-0

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mapinduzi Cup inaendelea visiwani Zanzibar, Robo Fainali ya nne inapigwa kati ya Simba SC na Jamhuri na Simba wamesonga mbele kwa ushindi wa goli 1-0.

Goli hilo limewekwa nyavuni na Jean Baleke dakika za nyongeza baada ya dakika 45 kukamilika. Krosi ilipigwa na Luis Miquissone, Baleke akamalizia kwa kichwa.

Simba wameungana na APR, Singida na Mlandege kutinga nusu fainali na sasa ni rasmi, Simba atacheza nusu Fainali na Singida FG.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live