Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wathibitisha Ayoub Lakred kupata majeraha

Lakred Ayoub Trsns Simba wathibitisha Ayoub Lakred kupata majeraha

Wed, 31 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisa habari wa Simba SC Ahmed Ally amethibitisha majeraha ya mlinda mlando wao namba moja Ayoub Lakred aliyoyapata Misri walipokita kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2024-2025

"Ni kweli Ayoub ameumia paja na atafanyiwa vipimo atakaporejea kujua kama atatibiwa kawaida ama kwa njia ya upasuaji , madaktari bado hawajasema atakaa nje kwa muda gani, lakini itafahamika mara tu vipimo vitakapokamilika" Ahmedy Ally

Kikosicha Simba kinarejea nchini hii leo kikitokea Misri ilipoweka kambi ya wiki 3.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live