Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba warudi tena Zanzibar

Fondoh Matolasfdg Simba warudi tena Zanzibar

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC kimeanza safari kwenda Zanzibar kwenye kivumbi cha Kombe la Muungano 2024.

Aprili 24, 2024 Saa 2: 15 Usiku Simba watashuka dimbani New Amaan Complex, kuvaana na KVZ katika mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza ya kombe hilo huku Nusu Fainali ya pili ikitarajiwa kupigwa Aprili 25, Azam FC Vs KMKM.

Mchezo wa Fainali ya michuano hiyo utapigwa Aprili 27 Uwanja wa New Amaan Zanzibar.

Una maoni, tuandikie?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live