Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba warejea kutoka Morocco

Simba Rejea Simba warejea kutoka Morocco

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba SC kimerejea nchini mapema leo wakitokea nchini Morocco ambapo walipoteza na kuondoshwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati na Wydad Casablanca kwenye hatua ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika.

Kikosi hicho kimepokelewa na mamia ya mashabiki wake kilipotua kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live