Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wapimwa corona Guinea

Simba Horoya Simba wakiwasili Guinea

Sat, 11 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba leo kimefanyiwa vipimo vya Covid-19 ili kutambua hali zao za kiafya kuhusu ugonjwa huo ikiwa ni sehemu ya kuchukua tahadhari.

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeweka utaratibu wa kabla ya mchezo wowote lazima kufanyike vipimo vya Covid-19 ili kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo ambao ulitikisa dunia.

Hata hivyo, hakuna cha kuhofia kwa kuwa hakuna yeyote miongoni mwao  kwenye msafara wao ambaye ameonyesha dalili za ugonjwa huo lakini kwa kuwa ni takwa la kikanuni kutoka CAF hivyo lazima tufanye.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live