Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wapiga tizi la mwisho Zanzibar kutua Dar soon

Simba Tizzzzi.jpeg Simba wapiga tizi la mwisho Zanzibar kutua Dar soon

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Misimbazi Simba SC jana Marchi 25, 2024 wamepiga tizi lwa mwisho kisiwani Zanzibar kabla ya kurejea jijini Dar tayari kwa mchezo wao wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly.



Simba wanatarajia kuingia Dar leo ambapo wataendelea na mazoezi kesho na kesho kutwa Alhamisi kisha Ijumaa watashuka dimbani katika dimba la Benjamini Mkapa jijini Dar.

Mara baada ya kucheza mchezo huo wa awali, Simba watarajia kurudiana katika mchezo wa pili wa roba fainali utakaopigwa Misri Aprili 5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live