Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wanamtaka mwamba huyu

Agostinho Simba wanamtaka mwamba huyu

Thu, 22 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi zinaeleza kuwa viongozi wa Simba SC wanpanga kufanya jaribio la kumsajili mshambuliaji wa Al Ittihad Alexandria Club ya nchini Misri, Agostinho Cristóvão Paciência maarufu kama Mabululu.

Jaribio hilo linatarajiwa kufanyika dirisha kubwa la usajili mwaka huu Kwa ajili ya kuboresha safu ya ushambuliaji ya timu hiyo na kuhakikisha wanakuwa imara sana.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 31 ni moja kati ya wachezaji walioisaidia timu ya taifa ya Angola 'swala weusi' kufanya vyema kwenye michuano ya AFCON iliyofanyika mwanzoni mwaka huu pale Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live