Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wampa 'Thank You' Chilunda

Chilunda Simba wampa 'Thank You' Chilunda

Wed, 19 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi was Simba umethibitisha kuwa Mshambuliaji Shaban Idd Chilunda amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja na hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25.

Uongozi was Simba umethibitisha kuwa Mshambuliaji Shaban Idd Chilunda amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja na hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25. Chilunda anakuwa mchezaji wa tatu kutangazwa na Simba kuwa hatakuwa sehemu ya kikosi kwa msimu ujao, wa kwanza alikuwa John Raphael Bocco na wa pili ni Saidi Ntibazonkiza 'Saido'.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live