Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wamerejea nchini

Simba Wamerejea Nchini Simba wamerejea nchini

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wamerejea nchini wakitokea nchini Misri ambako walitolewa kwenye mchezo wa pili wa Robo Fainali ya African Footbal League dhidi ya Al Ahly.

Simba walitolewa kwenye mashindano hayo baada ya kupata sare ya 1-1 huku agrigatte ikiwa ni 3-3 hivyo kuondoshwa kwa faida la goli la ugenini kwani katika mchezo wa awali uliopigwa Benjamini Mkapa Stadium, Simba walipata sare ya 2-2.

Simba sasa wamerejea kujipanga kwa michezo ya Ligi Kuu pamoja na ile ya klabu Bingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live