Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wamegombania Chasambi na Wazungu, Ahmed Ally ajivunia

Ihefu Wameturahishia Kazi Ya Kutwaa Ubingwa   Ahmed Ally.jpeg Simba wamegombania Chasambi na Wazungu, Ahmed Ally ajivunia

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Undani wa taarifa kumhusu nyota mpya wa Simba SC Ladack Chasambi kutakiwa na Klabu ya nje ya Tanzania, Meneja wa habari wa Simba, Ahmed Ally anasema mchezaji huyo walimgombania, Simba dhidi ya Wazungu.

Ahmed amesema, kitendo hicho cha kugombania na Wazungu ni kitu cha kujivunia.

"Japo sijaiona hiyo habari lakini kama tunagombania na watu wapo Ulaya nq tumewazidi maana yake sisi tumewazidi hela," alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live