Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wamchunge huyu mwamba wa kuitwa Poku, ni Aziz Ki mtupu!

Poku Aseccc Simba wamchunge huyu mwamba wa kuitwa Poku, ni Aziz Ki mtupu!

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serge Poku ni nyota wa kuchungwa zaidi katika Kikosi cha ASEC Mimosas akicheza nafasi ya kiungo mshambuliaji.

Poku mwenye umri wa miaka 23 msimu huu amepania kufanya makubwa ili aweze kutengeneza pesa nyingi Kwa kupata marisho Bora zaidi nje ya ASEC Mimosas iwe hapa hapa Afrika ama Ulaya.

Poku ndiye mtambo wa mabao ndani ya Kikosi cha ASEC ambapo hadi sasa amefunga mabao sita katika mashindano yote akiwa na jezi ya ASEC Mimosas.

Ni kinara wa mabao kwa upande wa ASEC ndani ya Ligi Kuu ya Ivory akiwa na mabao manne, huku CAF Champions akiwa amefunga mabao mawili hadi sasa.

CAFCL ⚽-2 ✔️ IPL ⚽-4 ✔️

Chanzo: www.tanzaniaweb.live