Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba walitaka wenyewe kutolewa na Al Ahly - Mchambuzi

Saido Vs Ahly Misri.jpeg Simba walitaka wenyewe kutolewa na Al Ahly - Mchambuzi

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa Wasafi Fm, George Job amesema anaamini kuwa Klabu ya Al Ahly walikuwa wapo vibaya kiasi ambacho Simba Sc wamepoteza nafasi ya kuwatoa Waarabu hao ambayo haikuwa vizuri.

Job amesema hayo kwenye kupindi cha #SportsArena akiamini kuwa kama Al Ahly wangekuwa kwenye ubora wao basi Simba wasingeweza kuambua sare, lakini Ahly walikuwa vibaya ni Simba wenyewe wameshindwa kuwatoa Ahly ambayo wako vibaya.

Simba iliondolewa juzi katika michuano ya African Football League baada ya kutoa sare ya jumla ya mabao 3-3 lakini kanuni ndiyo iliamua kutokana na Mnyama kuwa na mabao machache ya ugenini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live