Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba walazimishwa sare ya pili Klabu Bingwa

Simba Sare Ugenini Simba walazimishwa sare ya pili Klabu Bingwa

Sat, 2 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wamelazimishwa sare kwa mara nyingine ugenini dhidi ya Jwaneng Galaxy.

Simba walifanikiwa kumiliki zaidi mpira na kupoteza nafasi nyingi zaidi za kufunga na hadi filimbi ya mwisho, Simba 0-0 Jwaneng.

Hii ni sare ya pili kwa Simba ambapo awali alicheza na ASEC Mimosas katima dimba la Benjamini Mkapa jijini Dar.

Simba sasa ana alama mbili katika kundi lao hilo linaloongozwa na Jwaneng Galaxy wenye alama nne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live