Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba walamba dili mpya ya udhamini

Simba SC Udhamini Mashabiki wa Simba SC

Thu, 14 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC. imesaini mkataba wa udhamini wa miaka mitano na Kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-BET ambayo sasa ni Mdhamini Mkuu wa Club hiyo kuanzia July 1 2022.

Taarifa ya Simba SC. imesema taarifa kamili juu ya udhamini huu zitatolewa na pande zote mbili siku ya Jumatatu August 1 2022.

Kabla ya M-BET Timu ya Simba ilikuwa na mkataba wa udhamini na Kampuni ya kubashiri ya Sport Pesa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live