Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wajitokeza kwenye Supu ya Wananchi

Supuuuu A0016 Simba wajitokeza kwenye Supu ya Wananchi

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo ikiwa ni ‘Wananchi Supu Day’ ambapo mashabiki wamekusanyika makao makuu ya klabu hiyo Jangwani jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kunywa supu baada ya kupata zawadi ya ng'ombe kwenye ushindi wa mabao 5-1 Yanga ilipoifunga Simba kwenye Ligi Kuu Novemba 5.

Leo ikiwa ni ‘Wananchi Supu Day’ ambapo mashabiki wamekusanyika makao makuu ya klabu hiyo Jangwani jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kunywa supu baada ya kupata zawadi ya ng'ombe kwenye ushindi wa mabao 5-1 Yanga ilipoifunga Simba kwenye Ligi Kuu Novemba 5. Pichani ni mashabiki waliovalia jezi za Simba wakiwa na mashabiki wa Yanga katika tukio hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live