Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waingia rasmi kambini!

AHMED ALLY SIMBA GF.jpeg Simba waingia rasmi kambini!

Tue, 18 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Mismbazi Simba SC, wamerejea kambini leo saa tatu asubuhi kuanza kambi kwa ajili ya kuwawinda Wydad Casablanca kutoka nchini Misri.

Simba walipewa mapumziko ya siku moja mara baada ya kutoka kwenye mechi ya dabi dhidi ya Yanga SC na kuibuka na ushindi wa 2-0.

Akizungumza na wanahabari leo Apili 18, 2023, Afisa Habari wa Simba, Ahmed Ally alisema, nyota wote wanaingia kambini leo kwa ajili ya kuwawinda Wydad mchezo wa Klabu Bingwa hatua ya Robo Fainali ikiwa ni mechi ya kwanza itakayopigwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar majira ya saa 10:00 jioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live