Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waifuata Mashujaa baada ya kuichakaza Tembo FC

Simba Waifuata Mashujaa Baada Ya Kuichakaza Tembo FC Simba waifuata Mashujaa baada ya kuichakaza Tembo FC

Thu, 1 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msafara wa wachezaji na viongozi wa Simba leo asubuhi ulipanda ndege kuelea mkoani Kigoma.

Timu hiyo, imeeleka Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa FC utakaopigwa keshokutwa Jumamosi saa kumi kamili.

Jana Januari 31, 2024, Simba waliwacharaza Tembo FC 4-0 ukiwa ni mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live