Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wahaha kumbakisha Inonga, Waarabu wanamtaka!

Inonga Hauzwi, Epukeni Matapeli   Ahmed Ally.jpeg Simba wahaha kumbakisha Inonga, Waarabu wanamtaka

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya Simba SC imeanza maandalizi ya kumsainisha nyota wake wa kimataifa wa Congo D, Henock Baka kusalia klabuni kwa msimu mungine zaidi.

Inonga ambaye ni beki kinara wa Simba amebakisha miezi 14 kwa mkataba wake na Simba kutamatika kabla ya kuwa mchezaji huru.

Mapema mwezi uliopita vilabu vya Rabat na Berkane zilionyesha nia ya kuhitaji huduma yake baada ya michuano ya Afcon.

Soko la Inonga linatajwa kuongezeka baada ameonesha kiwango bora kwenye michuano ya AFCON iliyomalizika jana akiisaidia timu yake ya Congo kufika nusu fainali na kumaliza katika nafasi ya nne kwenye michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live