Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wafika 'mji wa mapambano' Marrakesh

Simba Wafika 'mji Wa Mapambano' Marrakesh.jpeg Simba wafika 'mji wa mapambano' Marrakesh

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC kimetua kwenye Uwanja wa Ndege Marrakesh Menara, nchini Morocco tayari kwa mchezo wao ???????????????????? ???????? ????????????a???? ????????.

Mapema asubuhi hii, Simba walitua Casablanca, Morocco na safari ikaendelea kuelekea Marrakesh.

Simba watakipiga na Wydad Jumamosi majira ya saa nne usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live