Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waendelea kuiburuza Yanga viwango vya Ubora Kimataifa

Simba Ranking CAF Simba waendelea kuiburuza Yanga viwango vya Ubora Kimataifa

Mon, 27 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya fainali za CAFCL na ile ya CAFCC, Shirikisho la soka Afrika limetoa msimamo wa vilabu 30 bora Afrika, ukusanyaji wa alama ni kwa misimu 5 iliyopita.

Baada ya fainali za CAFCL na ile ya CAFCC, Shirikisho la soka Afrika limetoa msimamo wa vilabu 30 bora Afrika, ukusanyaji wa alama ni kwa misimu 5 iliyopita. Vilabu vya Simba na Yanga kutoka Tanzania vimeendelea kuwepo katika Orodha hiyo huku Simba akimpiku Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live