Mon, 4 Sep 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mwezi wa kumi kuna mechi ya Simba dhidi ya Al ahly kisha kuna mechi ya Luis Miquisson na Al Ahly.
Kwa sasa winga huyo anapambana kurejesha fitness yake ili mwezi wa kumi awe tayari kuwavaa waajiri wake wa zamani.
Siku hiyo atataka kucheza mara mbili zaidi ya uwezo wake ili awaonyeshe waarabu walikosea kumuacha na kumuona si lolote katika kikosi chao
Na uzuri anawajua vizuri walinzi wa Al ahly kwa kuwa ameshafanya nao mazoezi kwa muda mrefu.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: