Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba uso kwa uso na Singida FG Misri

Simba Yakutana Misri Simba uso kwa uso na Siginda FG Misri

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa zamani wa Klabu ya Simba SC ,Sharaf Eldin Shiboub ,Thadeo Lwanga pamoja na Kocha wa zamani wa viungo wa Simba,Dr Adel Zrane wamekutana na Wachezaji wa Klabu ya Singida Fountain Gate kwenye Airport Nchini Misri .

Wachezaji wa zamani wa Klabu ya Simba SC ,Sharaf Eldin Shiboub ,Thadeo Lwanga pamoja na Kocha wa zamani wa viungo wa Simba,Dr Adel Zrane wamekutana na Wachezaji wa Klabu ya Singida Fountain Gate kwenye Airport Nchini Misri . Singida FG wapo Nchini Misri kwa ajili ya kucheza Mchezo wa Marudiano wa Kufuzu hatua ya Makundi ya #CAFConfederationCup dhidi ya Future FC huku APR ambayo ndio mastaa hao wapo inatarajiwa kucheza dhidi ya Pyramids ambayo anacheza nyota wa zamani wa Klabu ya Yanga,Fiston Mayele.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live