Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba uso kwa uso na Red Arrows ya Zambia

Simba Shirikisho Simba SC, itakutana na Red Arrows katika Kombe la Shirikisho Afrika

Tue, 26 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwakilishi wa Tanzania kunako michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Simba SC itakutana na Timu ya Red Arrows kutoka nchini Zambia.

Katika ratiba ambayo imepangwa na Shirikisho la Soka barani Afrika CAF, leo Oktoba 26 nchini Misri.

Simba itaanzia nyumbani katika Uwanja wa Mkapa, mchezo ambao utapigwa Novemba 28, mwaka huu.

Huku mchezo wa marudiano ukipigwa Disemba 5, ugenini nchini Zambia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live