Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba ukuta unapwaya - Oscar Oscar

Inonga X Che Malone Mzuka Simba ukuta unapwaya - Oscar Oscar

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Niwakumbushe kabisa Simba kabla ya mchezo wa kesho kwamba safu ya ulinzi kule nyuma haipo sawa,huwa inaingiliwa kirahisi na kufanya makosa lukuki.

Katika mpira wa miguu ni ngumu timu kucheza bila kufanya ila unapokutana na timu kama vile Al Ahly unapaswa kupungunza makosa kwa kiwango cha Asilimia 90.

Kumbuka katika Ligi kuu Simba imesharuhusu mabao manne,sasa unapokutana na washambuliaji hatari kama Mahmoud Kahraba na Anthony Modeste hupaswi kama vile umekutana na washambuliaji wa Mtibwa Sugar au Coastal Union.

Kama Che Malone,Kennedy Juma,Shomari Kapombe na Zimbwe Jr wakicheza kama ambavyo wanacheza na washambuliaji wa Ligi Kuu,Sitashangaa Simba akifungwa zaidi ya goli tatu ama nne dhidi ya Al Ahly.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live