Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba tunaweza kuujaza uwanja peke yetu - Ahmed Ally

Mechi Tunaimaliza Dar, Misri Tutashikilia Bomba   Ahmed Ally Simba tunaweza kuujaza uwanja peke yetu - Ahmed Ally

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema wamepanga kuhakikisha wanaimaliza mechi dhidi ya Al Ahly nyumbani, Benjamini Mkapa Stadium.

Sambamba na hilo amesema, wanao uwezo wa kuujaza uwanja wao peke yao kwa viingilio na si bure.

"Sisi [Simba] peke yetu tunauwezo wa kuujaza uwanja wa Benjamin Mkapa! Hatuhitaji mtu yeyote. Wanalunyasi peke yetu tunao uwezo wa kujaza uwanja wa Benjamin Mkapa tena kwa viingilio, sio bure.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live