Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba nguvu zote Angola

Simba Zanzibar  Simba waelekeza nguvu zote Angola

Wed, 5 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Klabu ya Simba Juma Mgunda amesema kuwa wanaelekeza nguvu zao zote kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa dhidi ya Premiero De Agosto ya Angola.

Mgunda amesema kuwa maandalizi dhidi ya De Agosto yameanza mara moja na mapungufu yaliojitokeza kwenye mchezo na Dodoma Jiji yatafanyiwa kazi mazoezini kabla ya kukutana wapinzani wao mwishoni mwa juma lijalo.

“Maandalizi ya mchezo huo tayari yameanza na kitu kizuri hatutakuwa na mchezo wa ligi hivyo tutapata muda wa kufanya marekebisho yaliyojitokeza mazoezini,”amesema Mgunda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live