Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba na Yanga wakutane na nani robo?

Simba X Yanga CAF Simba na Yanga wakutane na nani robo?

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Simba na Yanga kuingia hatua ya robo fainali kwenye klabu bingwa barani Afrika moja ya swali ambalo mashabiki na wafuatiliaji wengi wa soka wanajiuliza je Simba na Yanga watakutana na timu zipi hatua ya robo fainali

Huenda CAF wamepunguza shauku hiyo kwa kutangaza kuwa tarehe rasmi ya Machi 12 kuwa itapigwa droo ya hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa pamoja na kombe la shirikisho

Droo hiyo itapigwa kwenye mji wa Cairo huko nchini Misri ambapo itaanza droo ya kombe la shirikisho ikifuatiwa na ya klabu bingwa ambapo zipo Simba na Yanga zipo huko

Ungependa Simba na Yanga zikutane na timu ipi hatua ya robo fainali?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live