Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba na Yanga wagawane mapato ya uwanja bila kujali mwenyeji - Mchambuzi

Simba Na Yanga Wagawane Mapato Ya Uwanja Bila Kujali Mwenyeji   Mchambuzi Simba na Yanga wagawane mapato ya uwanja bila kujali mwenyeji - Mchambuzi

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka nchini Farhan Kihamu amesema utaratibu wa mgeni kwenye mechi hapati mapato unapaswa kuangaliwa upya.

Farhan amesema kitendo cha mwenyeji kuchukua mapato yote ndicho kinachomfanya mgeni asihamasishe kabisa watu kuja uwanjani.

“Huu utaratibu wa mgeni hapati chochote ni ngumu sana mfano mechi ya Simba kumpush Yanga afanye hamasa huu ni ukweli ambao haufichiki.

“Hii kanuni wanaweza kuiboresha mfano hii game ya Simba na Yanga waweke hata 50/50 ," alisema

Chanzo: www.tanzaniaweb.live