Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba na Benchikha wote wana tabia sawa - Edo

Simba Na Benchikha Wote Wana Tabia Sawa   Edo Simba na Benchikha wote wana tabia sawa - Edo

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka nchini Edo Kumwembe amesema, tabia au hurka ya viongozi wa Simba na kocha wao mpya Benchikha zinafanana sio watu wa uvumilivu.

Amesema Benchikha akiona unamzingua hakawii kukuachia timu kama ilivyo kwa uongozi wa Simba, wanasifikika kwa kutimua walimu.

"Simba na Benchikha wana tabia sawa, ndio maana unaona Bechikha kashahama vilabu vingi, Raja kafundisha mara mbili sijui hivyo wana tabia sawa," alisema Edo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live