Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba mtihani mzito dhidi ya Jwaneng Galaxy wikiendi hii

Simba Mtihani Mzito Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Wikiendi Hii.jpeg Simba mtihani mzito dhidi ya Jwaneng Galaxy wikiendi hii

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi SC Jumamosi hii Desemba 2, 2023 wana kibarua kizito zaidi watakapovaana na Jwaneng Galaxy ambao msimu huu wameanza vizuri hatua ya Makundi kwa kupata ushindi dhidi ya Wydad Casablanca.

Jwaneng wanaongoza kundi lao wakiwa na alama tatu baada ya kumtandika Wydad nyumbani kwao na safari hii, wanawakaribisha Simba nyumbani kwao.

Simba wameanza hatua hiyo kwa kulazimishwa sare nyumbani na ASEC Mimosas ambao nao watakuwa na kibarua cha kuwakabili Wydad ambao wametoka kujeruhiwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live