Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kuweka kambi Misri, Klabu yathibitisha (+Video)

Simba Simba Simba.jpeg Simba kuweka kambi Misri, Klabu yathibitisha

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba Sc itaweka kambi nchini Egypt kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2024/2025.

Wachezaji wataanza kuripoti wiki ya kwanza ya mwezi ujao (Julai) tayari kwa Pre Season.

Timu itaondoka mwanzoni mwa mwezi Julai na wataondoka kamili na Benchi la ufundi.

Msikilize Ahmed Ally akifafanua hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live