Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kusepa Niger

Simba Coaches Simba kusepa Niger

Thu, 17 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba kinaondoka na wachezaji 24 akiwemo Chama ambaye licha ya kutokuwa sehemu ya mechi, lakini ana kazi maalumu ya kuisaidia timu hiyo.

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mulamu Ngambi ameeleza kuwa tayari walituma watu kwenda Niger kufanya uchunguzi na tayari wamekamilisha suala la usafiri, sehemu ya kufikia na chakula.

Simba inaenda Niger kisha kuunganisha Morocco ???????? kwenye mechi mbili za Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa Kundi D siku chache tangu itoe dozi nene kwa Asec Mimosas ya Ivory Coast ???????? katika mechi ya kwanza.

Simba inatarajia kucheza Jumapili ya Februari 20 dhidi ya US Gendermarie ya Niger saa 1 usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live