Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kumtambulisha kocha mpya soon

Ahmed Ally 5 Nov Simba kumtambulisha kocha mpya soon

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuachana na aliyekuwa kocha wao Roberto Oliviera 'Robertinho', Simba SC wanatarajia kumtangaza kocha mpya wiki hii.

Akizungumza na Wasafi FM, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amesema kwa asilimia kubwa wameshakamilisha taratibu za awali na tayari wanakamilisha wameshajiridhisha vya kutosha.

"Tumeshajiridhisha, ni kocha mzuri na tunayemhitaji. Hivyo wiki hii kabla haijaisha, tutamtangaza," alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live