Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kumpa 'thank you' mwingine leo

Ahmed Ally Xxx Simba kumpa 'thank you' mwingine leo

Tue, 18 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC leo wanatarajia kumpa thank you mchezaji mwingine ambaye hawatakuwa naye msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC 2024-25.

Simba jana Juni 17, 2024 walianza kumpa thank you nahodha wao John Raphael Bocco na leo wamesema zoezi hilo linaendelea.

"Tunaendelea na Maboresho ya kikosi chetu, Leo saa 7:00 Kupitia Simba tunatoa taarifa ya mchezaji mwingine anayeondoka ndani ya klabu yetu, Uongozi unafanya juhudi kuhakikisha tunatengeneza Simba tishio ili kurejesha makali yetu," alisema Ahmed Ally, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live