Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kumpa 'thank you' Jobe

Pa Omar Jobe Rrrrr Pah Omar Jobe

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa taarifa za ndani zinasema kuwa Klabu ya Simba itaachana na mshambuliaji wake Pa Omar Jobe kwenye dirisha kubwa la usajili linalotarajiwa kufunguliwa mwezi huu huku sababu kubwa ni kutoridhishwa na kiwango chake.

Kwa mujibu wa taarifa za ndani zinasema kuwa Klabu ya Simba itaachana na mshambuliaji wake Pa Omar Jobe kwenye dirisha kubwa la usajili linalotarajiwa kufunguliwa mwezi huu huku sababu kubwa ni kutoridhishwa na kiwango chake. Mshambuliaji Pa Omar Jobe aliyejiunga na timu hiyo wakati wa dirisha dogo la usajili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live