Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kukipiga na Tembo FC Azam Complex

Simba Kukipiga Na Tembo FC Azam Complex Simba kukipiga na Tembo FC Azam Complex

Tue, 30 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuwa na sintofahamu ya Uwanja ambao Simba atautumia kama uwanja wa nyumbani, hatimaye Simba wameweka uwanja wa Azam Complex kuwa ndio watakaoutumia dhidi ya Tembo FC.

Kupitia ukurasa wao wa Instagram, Simba wameweka ujumbe huo;

"Mchezo dhidi ya Tembo FC utapigwa kwenye uwanja wa Azam Complex siku ya Jumatano Januari 31, 2024 saa 1:00 usiku."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live