Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kukipiga na Al Hilal

Simbasctanzania 1724924854592.jpeg Simba kukipiga na Al Hilal

Fri, 30 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba weekend hii kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa kombe la shirikisho dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya

Kikosi cha Simba weekend hii kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa kombe la shirikisho dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya Mchezo huo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Al Hilal utachezwa jumamosi ya wiki hii kwenye dimba la Kmc Mwenge.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live