Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kufuata mbadala wa Inonga ASEC

Inonga Mshz Simba kufuata mbadala wa Inonga ASEC

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa ASEC Mimosas, Anthony Tra Bi Tra anatajwa huku Msimbazi kwenda kuziba pengo la Henock Inonga Baka ambae Taarifa zinaeleza kuwa mwishoni mwa msimu anaelekea AS FAR Rabat ya Morocco.

Nyota huyo raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 25 ameiongoza ASEC kutinga hatua ya robo Fainali ya CAF Champions League msimu huu akicheza michezo yote 12 ya ambayo ASEC Mimosas wamecheza kwenye michuano hiyo.

Inaelezwa kuwa Anthony Tra Bi anataka kuondoka ndani ya ASEC mwishoni mwa msimu huu na anataka kwenda kutafuta changamoto baada ya kuitumikia timu hiyo toka mwaka 2021.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live