Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kuendeleza rekodi ya un-beaten 27 leo?

Simba Full Squad .jpeg Simba kuendeleza rekodi ya un-beaten 27 leo?

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa msimbazi Simba SC, leo Oktoba 5, 2023 waashuka dimbani kukabilaiana na Tanzania Prisons ambapo swali la msingi ni; wataendeleza ubabe wa unbeaten ya 27?

Simba mpaka sasa, wanazo unbeaten 26 za Ligi Kuu ya NBC kutokea mwishoni mwa msimu uliopita ambapo kocha wao Roberto Oliviera 'Robertinho' ameendelea kushikilia bomba na kutopoteza mchezo hadi msimu wa 2023-24 ulipoanza.

Endapo ataibuka na ushindi hii leo, atakwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwani atakuwa na alama 12, nyuma yake atakuwa ni Azam FC mwenye alama 10 huku Yanga akiwa na alama tisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live