Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kuanza kuwapa 'thank you' wachezaji wake

MASTAA Thanks You Simba kuanza kuwapa 'thank you' wachezaji wake

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema wanataria kuwafyeka nyota wake kuelekea msimu ujao.

"Tunategemea kuacha wachezaji ili kuboresha kikosi kwa kuanzia tutawaaga baadhi ya wachezaji kwenye mechi za kumalizia msimu huu"

Ahmed Ally, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live