Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba inajulikana Botswana, msikilize shabiki wa Simba anaeishi Botswana

Simba 2.png Kikosi cha Simba SC

Sat, 16 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtanzania anayeishi Botswana na shabiki wa Simba, Charles Mtui, amesema Botswana wanajua historia ya Simba.

Simba ipo nchi Botswana kupambana na Jwaneng Galaxy katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live