Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba inahitaji watu wenye ueledi na uongozi - Cadena

Cadena X Benchikha Simba inahitaji watu wenye ueledi na uongozi - Cadena

Sat, 8 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa magolikipa Simba Daniel Cadena anasema Kwa sasa Simba Kwa upande wake anaona wanapaswa kuondosha watu wote ndani ya klabu na kuanza upya

Kocha huyo anasema kuwa Simba Kwa sasa inahitaji "PROFESSIONAL PEOPLE" watu wenye Ueledi , wasipewe nafasi sababu wanajuana na watu au Sababu wanaijua Sana Simba bali wanahitaji watu wenye Ueledi na taaluma

Daniel Cadena ambaye alikuwa kocha wa magolikipa Simba ameamua kuondoka Simba baada ya mkataba wake kuisha mwishoni mwa Msimu huu

Chanzo: www.tanzaniaweb.live