Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba imeshafika mwisho, Bahati mbaya Viongozi hawasemi ukweli (+Video)

Video Archive
Fri, 4 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa sasa Simba inavyocheza uwanjani sio Simba ya Misimu mitatu iliyopita hapo nyuma.

Simba inacheza mpira ambao hata wapinzani hauwaogopeshi, washambuliaji wa Simba wamekaukiwa na magoli miguuni mwao.

Hali hii inawasononesha wapenzi na Mashabiki wa Simba ambao kiuhalisia hawaridhishwi na kiwango cha Timu hiyo kwa sasa.

Mchambuzi wa soka Wilson Oruma anasema kwa sasa Simba, ilishafika mwisho wa 'cycle' hivyo inapaswa kuanza upya.

Msikilize hapa akieleza kwa undani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live