Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba imebaki palepale, Yanga imepanda kuwafuata - Kiemba

Simba Imebaki Palepale, Yanga Imepanda Kuwafuata   Kiemba Simba imebaki palepale, Yanga imepanda kuwafuata - Kiemba

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka, Amri Kiemba amesema, mashabiki wanapaswa kuelewa kwamba Simba SC imebaki kwenye ubora iliokuwa nao lakini Yanga imepanda kuwafikia.

Mchambuzi huyo ametoa kauli hiyo jana kwenye uchambuzi wake redioni.

“Simba wamebaki palepale lakini watu wanataka Simba itoke pale iende mbele zaidi, Yanga imepanda na kuifikia Simba, hii inafanya Yanga ionekane imefanya kazi kubwa sana.”

“Yanga imepanda juu na kufikia daraja la Simba ukilinganisha na lile gap la awali hiyo ndio inafanya watu waone Simba haifanyi kitu, wanaiangalia Yanga.”

“Watu wanaona Simba imeshuka kuja ilipo Yanga lakini kumbe Yanga ndio imepanda na kuifikia Simba.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live