Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba imebadilika, kilichobaki ni hiki...

Simba Botswana Yy Simba imebadilika, kilichobaki ni hiki...

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka Bongo George Ambangile amesema Simba SC imebadilika kutoka ile iliyokuwa inaruhusu sana magoli na kilichobaki ni kupachika magoli kwenye nyavu.

Ambangile ametoa maoni hayo alipokuwa akiichambua mechi ya Simba dhidi ya Jwaneng Galaxy ambayo iliisha kwa sare ya 0-0.

"Simba walikabia juu, Saido, Kibu na Baleka walianza kukaba vizuri kuanzia juu lakini sio hao tu viungo wakabaji Kanoute na Ngoma walisogea, vilevile mabeki wa pembeni walisogea juu na kuwafanya Jwaneng waanze kupiga mipira mirefu.

"Nimeona Simba imebadilika na hii ni meseji nadhani kutoka kwa Kocha Benchikha kwamba usipojitoa kukaba unapoteza namba," alisema Ambangile.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live