Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba haoo, wawafuata Mashujaa Kombe la Shirikisho la CRDB

Simba Haoo, Wawafuata Mashujaa Kombe La CRDB .jpeg Simba haoo, wawafuata Mashujaa Kombe la Shirikisho la CRDB

Mon, 8 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC kimeondoka Dar es Salaam kuifuata Mashujaa ya Kigoma kwa ajili ya mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup.

Kikosi cha Simba SC kimeondoka Dar es Salaam kuifuata Mashujaa ya Kigoma kwa ajili ya mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup. Mechi hii itachezwa kesho saa 10:00 jioni na mara ya mwisho wawili hao walikutana kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar, Simba aliibuka na ushindi wa 2-0 ukiwa ni mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu ya NBC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live