Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba haoo kileleni, wamtwanga Singida 2-1

Simba Haoo Kileleni Simba haoo kileleni, wamtwanga Singida 2-1

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wamerejea kileleni baada ya kuwafunga Singida FG 3-1 mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye uwanja wa CCM Liti mkoani Singida.

Magoli ya Simba SC yaliwekwa kimiani na Saidi Ntibanzokinza na Moses Phiri.

Goli pekee la kufutia machozi la Singida lilufungwa na Deusi Kaseke.

Simba wamekaa kileleni wakiwa na alama 15 wakifuatiwa na Azam FC wenye alama 13 na Yanga wakiwa nafasi ya 3 na alama 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live